5 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
STAND ARONE YA NGUVU INAPANGISHWA
HII NI KWA WALE WANAOPENDA KUKAA KWENYE NYUMBA NZURI YA KISASA NA SEHEMU TULIVU NA USALAMA WA KUTOSHA
JIRANI NA BARABARA
NYUMBA NI KUBWA SANA NA INA PARKING YA KUTOSHA
INA VYUMBA VITANO VYA KULALA KIMOJA NI MASTER, PUBLIC TOILET SEBULE KUBWA SANA JIKO LA KISASA NA DINING
NYUMBA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WA KM 1.5
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YA PEKEAKE INAJITEGEMEA KILA KITU UMEME NA MAJI
BEI NI TSH 500.000/ KWA MWEZI TSH LAKI TANO MWEZI ILIPWE KODI YA MIEZI SITA
SERVICE CHARGE 20,000
ILIPWE PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI UFANYAPO MALIPO YA HII NYUMBA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU ILI KUEPUKA USUMBUFU
=====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI