5 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
#STAND ALONE HOUSE FOR RENT/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
Nyumba Ina mazingira mazuri sana
Balabala ni rafiki Kwa gari aina zote
Vyumba vitano vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa dinning jiko kubwa,
=
Kodi 450,000 Kwa mwezi × 6
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea kila kitu, Umbali KM 1.5 Tu kutoka Morogoro Road
Usafiri upo wa kutosha bajaji 700 pikipiki 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Ukipenda nyumba hii unatakiwa kulipa Kodi ya mwezi mmoja Kwa dalali
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI