5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ipo Mbweni JKT, inatizama Barabara ya Lami.
SQM 1,000
BEI Bilioni 1.2
Hati ya umiliki ipo
Ina vyumba vitano vyote ni master (Primary Rooms), Jiko kubwa la kisasa, Dinning, Sitting Room, Guest Toilet na kuna balcony za kutosha.
Nje kuna Self-contained moja
Jiko la nje na sehemu ya kukaa wageni.
Swimming pool kubwa ya kisasa, bafu/choo cha nje.
Garden iliyotulia na paving.
Sehemu ya kuanika nguo.
Car park ina shade yake.
Picha zinajileza.
Kwa Mawasiliano
Piga 0718 809 744
Service Charge 20 000