5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBWENI MPIJI
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 1281
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI MILIKI SAFII
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba vitano vya kulala Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! ๐ค
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 850
Maongezi yapo
PIGA SIMU 0788684852
__
PAMOJA NA SERVANTKOTA