Farm for sale at Chibelela, Dodoma


Chibelela, Bahi, Dodoma
2 days ago
Sh. 650,000
Installment Allowed
Agriculture
SHAMBA LINAUZWA CHIBELELA MPUNGUZI DODOMA.
๐36km kutoka mjini na 6km kutoka lami.
๐Sio mbali na makazi ya watu. Huduma za kijamii hazipo mbali sana.
๐Lina ukubwa wa ekari moja, Linafaa kwa kilimo au ufugaji.
๐Bei ni 650,000 tu
Site fee 20,000
โ๏ธ0672312302
"Ora et labora, pray and work"