Farm for sale at Chibelela, Dodoma


Chibelela, Bahi, Dodoma
5 days ago
Sh. 7,500,000
Installment Allowed
Agriculture
SHAMBA LA ZABIBU LINAUZWA CHIBELELA MPUNGUZI DODOMA KWA MILIONI 7.5 TU.
Lipo 33km kutoka mjini na 3km kutoka barabara ya lami.
Lina ukubwa wa ekari moja, mitaro 25 yenye mizabibu inayozaa.
Ukiliboresha vizuri unaweza kurudisha gharama ulizonunulia shamba ndani ya mwaka mmoja tu.
Na uzuri ni kwamba unaweza kuendelea kuvuna zabibu zaidi ya miaka 40. This is a lifetime investment.
Bei ni milioni 7.5 tu
Site fee 20,000