Retail Space for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🔥FREMU YA BIASHARA INAPANGISHWA - KIMARA KOROGWE KALIBU🔥
📍Tunapangisha fremu kubwa na imara yenye store ya ndani, ipo Kimara - Korogwe Kalibu, inakabili Morogoro Main Road. Ni eneo zuri sana kwa biashara, lina mwonekano mzuri na mzunguko mkubwa wa watu.
🏠Maelezo ya Fremu:
Kodi: Tsh 200,000/= kwa mwezi
Ina store ndani
Maji & Umeme: Vipo
Ubora: Imara sana, malebisho yanaendelea
Inafaa kwa:✅
🔹Duka la bidhaa
🔹Wakala
🔹Saloon / Beauty Shop
🔹Ofisi
🔹Shughuli nyinginezo za kibiashara
Gharama Nyingine:
🔸Service charge: Tsh 15,000/=
🔸Kodi ya mwezi mmoja ya dalali
🔸Mahali: Korogwe Kalibu, karibu na 🔸barabara kuu ya Morogoro
Piga simu / WhatsApp:📞
IMELUDI TENA🙃
0713661530_0783661530