Frame inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐ฅFREMU YA BIASHARA INAPANGISHWA - KIMARA KOROGWE KALIBU๐ฅ
๐Tunapangisha fremu kubwa na imara yenye store ya ndani, ipo Kimara - Korogwe Kalibu, inakabili Morogoro Main Road. Ni eneo zuri sana kwa biashara, lina mwonekano mzuri na mzunguko mkubwa wa watu.
๐ Maelezo ya Fremu:
Kodi: Tsh 200,000/= kwa mwezi
Ina store ndani
Maji & Umeme: Vipo
Ubora: Imara sana, malebisho yanaendelea
Inafaa kwa:โ
๐นDuka la bidhaa
๐นWakala
๐นSaloon / Beauty Shop
๐นOfisi
๐นShughuli nyinginezo za kibiashara
Gharama Nyingine:
๐ธService charge: Tsh 15,000/=
๐ธKodi ya mwezi mmoja ya dalali
๐ธMahali: Korogwe Kalibu, karibu na ๐ธbarabara kuu ya Morogoro
Piga simu / WhatsApp:๐
IMELUDI TENA๐
0713661530_0783661530