Retail space for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


๐๏ธNYUMBA INAUZWA
๐ LOCATION IPO MBAGALA SABASABA
๐INA VYUMBA SITA(6) ,MASTA MBILI (2) NA FREM NNE (4) INATAZAMA BARABARA YA RAMI YA SABASABA MAGENGENI
๐ฐBEI MILION 80
๐ CONTACT 0658304822