House for Rent at Bara, Songwe
Kiwanja Sqmt 1434 kimekamata Bara Bara kuu ya mtaa Kinauzwa milioni 48 maongezi yapo đź“ŤKipo *Kibaha maili moja stendi ya mkoa*
- Karibu na (*Hotel DALLAZ OF THE HEART KIBAHA TOWN*)
â—‡Viwanja vilivyopo hapo vyote viliuzwa na HALIMASHAURI YA MJI WA KIBAHA
â—‡Kiwanja kipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
â—‡Ukubwa wa kiwanja ni sqmt 1434 Document : clean TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
â—‡Kiwanja kinafaa kuishi au kujenga nyumba za apartments kwajili ya kupangisha
â—‡Umbali mita 300 tu kutoka Morogoro road Na kutoka stendi ya mkoa ni mita 700 tu
â—‡(Noted): Ukishuka kutoka stendi mkoa unatembea tu
â—‡ Bei Tsh milioni 48 maongezi yapo
Contact
0652472014
0754344786