House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
Sh. 100,000 per sqm
Project
Yes

SWIPE LEFT ➡️ UONE VIWANJA VYETU VIZURI

BUNJU BEACH, Bunju ambayo upepo unavuma kutoka baharini moja kwa moja ambayo ipo juu.

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 17 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan bunju beach wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 100,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 45MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 446 mpaka sqm 875.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa mwezi 1, utaanza na 80% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya mwezi 1 tu.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani uwanja wa simba road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

APARTMENT NZURI SANA 🏡🏘 YA VYUMBA VIWILI INAPANGISHWAMAHALI: BUNJU BINA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJ...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA___________LOCATION: BUNJU B - (Kiwanja Cha Pili kutoka Main Road) ____...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

APARTMENT YA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE NA JIKO 🏡🏘 INAPANGISHWALOCATION: BOKO BEACH ...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA#MAHALI BUNJU BEACH UKUBWA SQM 1400Kina hati milikiBEI MILIONI 140Maongezi yapo KWA...

3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 375,000,000

NEW HOUSE FOR SALE𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓𝖬𝖠𝖧𝖠LI - BUNJU B____________________BEI ...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

NYUMBAKALI KABISA YA KISASA INA UZWA BUNJU BEACH MOGA -------SQMT 1500HATI MILIKI SAFI --------SERVI...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

BUNJU BEACH KWA MATAJIRIMRADI MPYA KABISABEI YAKE NI 100,000TSH kwa SQM 1 TUNAONGELEA BUNJU ILE ILIY...

4 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Hii nyumba inauzwa million 150➖➖➖➖➖➖➖IPO bunju a Kwa baharia ➖➖➖➖➖➖➖Ina vyumba vinne vyumba vitatu v...

4 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Nyumba iyo inauzwa @Bei milioni 150@Ipo maeneo ya bunju kwa baraia@Inaukubwa wa sqm 500@Inavyumba 4 ...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa 22/1/2025Nyumba inapangishwa apartment 2 Bei 200...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa 22/1/2025Nyumba inapangishwa apartment 2 Bei 200...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA___________LOCATION: BUNJU B - DAR ES SALAAM ___________UKUBWA: Kiwanj...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 11,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA___________LOCATION: BUNJU MINGOI - NJIA YA KWENDA KIMERE ___________UKU...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

FENCED PLOT YENYE EKARI MOJA NA NUSU NZURI SANA INAUZWA MAHALI: BUNJU A MITA 400 KUTOKA KWENYE LAMIE...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 12,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA TSH MILIONI 12MAHALI: BUNJU A MITA 500 KWENYE LAMIKINA UKUBWA WA SQM 50...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Nyumba inapangishwa inajitegemea bunju b bedroom's 3 tsh 400,000DATE: 22/01/2025CITY': DAR ES SALAAM...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

22/1/2025Nyumba Nzima inapangishwa stand alone inajitegemea Location bunju b Bei 400000 Kwa mwezi Mi...

3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

NYUMBA INAUZWA: SALASALA AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUPDATE LISTED: 22/01/2025HOUSE LOCATION: MBO...

3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

NYUMBA INAUZWA: BUNJU BEACH AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUPDATE LISTED: 22/01/2025HOUSE LOCATION: MO...

3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

NYUMBA INAUZWA: BUNJU BEACH AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUPDATE LISTED: 22/01/2025HOUSE LOCATION: MO...