Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
Sh. 100,000 per sqm
Project
Yes

SWIPE LEFT ➡️ UONE VIWANJA VYETU VIZURI

BUNJU BEACH, Bunju ambayo upepo unavuma kutoka baharini moja kwa moja ambayo ipo juu.

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 17 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan bunju beach wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 100,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 45MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 446 mpaka sqm 875.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa mwezi 1, utaanza na 80% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya mwezi 1 tu.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani uwanja wa simba road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

FULL FURNISHED HOUSE FOR SALELOCATION: BUNJU A MIANZINIPRICE: TSH MILION 270 NEGOTIABLEPLOT SIZE:SQM...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 24,000,000

22/4/2025Nyumba INAUZWA Location bunju b mabwepande mikocheni cVyumba 3Bei million 24 mazungumzo Pig...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 375,000,000

NEW HOUSE FOR SALE𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓𝖬𝖠𝖧𝖠LI - BUNJU B____________________BEI ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

DALALIMBEZIBEACH_SEMBA  HOUSE FOR SALE 3 BEDROOM 2 IS SELF LOCATION:BUNJU BEACH MOGA MTAA WA KISHUA ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

DALALIMBEZIBEACH_SEMBA  HOUSE FOR SALE 3BEDROOM 2 IS SELF LOCATION BUNJU MIANZINIKUTOKA RAMI MITA 20...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

TSHS MIL 250,#NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- BUNJU MIANZINI _____________________UKUBWA...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

House For Sale Location:Bunju A Usalama Plot Size Sqm 855 Documents:Title Deeds(Ina Hati Miliki)3 Be...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

NYUMBA INAUZWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-BUNJU MIANZINI_____________UKUBWA WA KIWANJA CHAKE-SQM 600...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 375,000,000

NEW HOUSE FOR SALE𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓𝖬𝖠𝖧𝖠LI - BUNJU B____________________BEI ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

21/4/2025Nyumba INAUZWA Location bunju A kwa baharia Bei million 150Square metres 700Hatimiliki Full...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

House for sale3bedroom 2 is selfLocation bunju mianzin Mita 200 kutoka ramiPrice: ml 250 maongeziSiz...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

House for sale3bedroom 2 is selfLocation bunju mianzin Mita 200 kutoka ramiPrice: ml 250 maongeziSiz...

Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

21/4/2025Kiwanja kinauzwa Location bunju A Bei million 35Full document Hatimiliki Piga simu O7450100...

Frame inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

21/4/2025Fremu inapangishwa Location bunju A shule Kodi 250000 kwa mwezi Piga simu O745010009

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA YA VYUMBA VITATU 🏡🏘️ INAJITEGEMEA INAPANGISHWAMAHALI: BUNJU AINA VYUMBA VITATU CHUMBA KIMOJ...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

21/4/2025Nyumba inapangishwa stand alone Inajitegemea Kodi 300,000 kwa mwezi Miezi 6Location bunju A...

Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

Kiwanja linauzwa kizuri sana location bunju beach moga ukubwa eneo sqmt 500 bei ml 70 maongezi yapo ...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

20/4/2025Nyumba inapangishwa stand alone Inajitegemea Location bunju A shule Kodi 450000 kwa mwezi M...