House for Rent at Hazina, Dodoma
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 28/01/2025 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA NYUMBA HAZINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA PARKING IPO
#LUKU KUNA SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#SIMTANK YAKO KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 4-5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA
CALL
O627977383