House for Rent at Kibaha, Pwani


HII SASA NI EMBE DODO CHINI YA MPERA🤗🤗
FREM SITA VYUMBA KUMI NA MOJA VYOTE MASTER NA VYOTE VINAWAPANGAJI VINAUZWA KWENYE ENEO MOJA...
HII NI KIBAHA KWA MATHIASI
NYUMBA INA FREM VINATAZAMA BARABARA KUBWA MOROGORO ROAD YA ZAMANI NA NI MITA MIA TOKA MOROGORO ROAD YA SASA
KILA CHUMBA KODI ELF 50📌
KILA FREM KODI LAKI MOJA
UKIVIKARABATI KODI INAPANDA MAPEMA SANA
UKUBWA WA ENEO SQMT 500
UMILIKI MAUZIANO SERIKALI YA MTAA RUKSA KUFANYA CHINI YA MWANASHERIA WAKO
BEI MIL 70
SERVICE CHARGE 50K📌
KAMA HAUNA SERVICE CHARGE BAKI NYUMBANI BOSS WANGU....
TUWASILIANE WHATSAPP/CALL 0784 919 453,, CALL 0658 582 977..
KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAP BONYEZA HAPA 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale