House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
USIKUBALI KUKOSA NA HIVI. MRADI UPO KIGAMBONI KIMBIJI KIDAGAA Center. Ni Mita 200 tu Toka Barabara kubwa ya Kimbiji, pia ni jirani na kiwanda Cha Africab. Hivi viwanja Viko mjini Kabisa, unanunua na kujenga. Umbali wa Kutoka BAHARINI ni Km 1.5 0711677199/0744847199.
➡️Bei ni Milion 1.5 na Milion 1 Tu.
Vyote vina ukubwa sawa Futi 50 X 40. Utofauti wake, vya Milion 1.5 Viko juu na Milion 1 Viko chini Kidogo Mvua ikinyesha kubwa sana vina asili ya kukaa Maji.
⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme upo, maji ya DAWASA, shule ya msingi na sekondari hapohapo, hospital ipo n.k
⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara kama kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, kwa sababu ya wingi wa wafanyakazi wa Viwandani.
⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 33 , unapanda gari moja tu tokea Ferry, Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199