Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Project
Yes

USIKUBALI KUKOSA NA HIVI. MRADI UPO KIGAMBONI KIMBIJI KIDAGAA Center. Ni Mita 200 tu Toka Barabara kubwa ya Kimbiji, pia ni jirani na kiwanda Cha Africab. Hivi viwanja Viko mjini Kabisa, unanunua na kujenga. Umbali wa Kutoka BAHARINI ni Km 1.5 0711677199/0744847199.

➡️Bei ni Milion 1.5 na Milion 1 Tu.
Vyote vina ukubwa sawa Futi 50 X 40. Utofauti wake, vya Milion 1.5 Viko juu na Milion 1 Viko chini Kidogo Mvua ikinyesha kubwa sana vina asili ya kukaa Maji.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme upo, maji ya DAWASA, shule ya msingi na sekondari hapohapo, hospital ipo n.k

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara kama kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, kwa sababu ya wingi wa wafanyakazi wa Viwandani.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 33 , unapanda gari moja tu tokea Ferry, Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI FAN CITY MTAA WA MTENGU ENEO LINA UKUBWA WA SQM 2000 NYUMBA INA VYUMBA VIN...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

👉🏾👉🏾BEACH ⛱️ HOUSE FOR SALE AT KIGAMBONI 👉🏾One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magog...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

HOUSE FOR SALE /NYUMBAINAUZWA KIGAMBONILOCATION: MJI NWEMA KIBUGUMO , KIGAMBONI*VYUMBA VITATU SEBULE...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

#kigamboni #house for sale vyumba 13Sqm:600Bei=300m. Mita=100 rami. ☎️0686 705 903 dalali_kigamboni...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

📍 Viwanja Vinauzwa kigamboni geza block 15📍Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

PLOT FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KIBADA BLOCK 18DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 ASKING PRICE MIL 130 SIZ...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 700,000,000

#NYUMBA 🏠 I N A U Z W A LOCATION KIGAMBONI KISOTA. #UKALI__Bado__mpyaa. NYUMBA NZURI SANA YA KISASA...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 7,650,000

Ruby city (Bohari Kigamboni)- Mita 200 kutoka barabara kuu - Bei kwa sqm 20,000/= miezi 18 (17,000/=...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, DARAJANI 》Nyumba ina VYUMBA VITATU KI...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KIBADA FULL SHANGWE DAR ES SALAAM TZ BEI MILIONI 130 NEGOTIABLE KI...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 65,000,000

#viwanja #kigamboni plot for sale Sqm:600=Hati ya wizara. Bei=65m. ☎️0686 705 903 dalali_kigamboni...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER SITING DINING JIKO PUBLIC TOIL...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 67,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __INA VYUMBA V 5 VYAKULALA VYOTE MASTER SITING DINING JIK...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KIBADA 》Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA MPYA ZIPO 4 TU JUU NACHINI SIFA ZAKE CHUMBA MASTER BEDROOM SITING ROOM NAJI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, DARAJANI 》Nyumba ina VYUMBA VIWILI KIMOJ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KIBADA 》Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, DARAJANI 》Nyumba ina VYUMBA VIWILI KI...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

*One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni*-It has six bedrooms all en-suite, sitting r...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

*One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni*-It has six bedrooms all en-suite, sitting r...