House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Project
Yes

USIKUBALI KUKOSA NA HIVI. MRADI UPO KIGAMBONI KIMBIJI KIDAGAA Center. Ni Mita 200 tu Toka Barabara kubwa ya Kimbiji, pia ni jirani na kiwanda Cha Africab. Hivi viwanja Viko mjini Kabisa, unanunua na kujenga. Umbali wa Kutoka BAHARINI ni Km 1.5 0711677199/0744847199.

➡️Bei ni Milion 1.5 na Milion 1 Tu.
Vyote vina ukubwa sawa Futi 50 X 40. Utofauti wake, vya Milion 1.5 Viko juu na Milion 1 Viko chini Kidogo Mvua ikinyesha kubwa sana vina asili ya kukaa Maji.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme upo, maji ya DAWASA, shule ya msingi na sekondari hapohapo, hospital ipo n.k

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara kama kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, kwa sababu ya wingi wa wafanyakazi wa Viwandani.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 33 , unapanda gari moja tu tokea Ferry, Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

1 Bedrooms House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

Apartments For Sale Ziko Tatu Kwenye Compound Moja Location:Kigamboni Gezaulole Block 21Plot Size Sq...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 40,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __MITA 💯 KUTOKA LAMI __Location kigamboni kibugumo Docum...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 5,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MCHIKICHINIBEI:MILION 5 NA LAKI 5UKUBWA;SQM 400CALL 0742121038

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 4,500,000

*Plot ya ekari 3 kwa ajili ya ICD inauzwa Daraja la Nyerere, Kigamboni* 📍 Kiwanja kipo mita 900 kut...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

Kigamboni Ungindoni House for sale Sqm:600220MBedroom 3Zote master CALL 0683491594,0716974073

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni darajani 📍✅ Vyumba viwili kimoja master Sebule jiko ✅ Ndani ya fence...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebule d...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebule...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,000,000

MRADI MPYA WA VIWANJAVIWANJA VYETU VIMEPIMWA NA VINA HATIBEI INANZIA MILLION 5 KWA SQM 500YAAANI 25*...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI kIBADA STEND__MITA 💯 KUTOKA LAMI ENEO LINA BOMA. NDANI LENYE VYUMBA 8KW...

1 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA UNGINDONI __NYUMBA NIYA KUAMIA TU TAJILIMAZINGILA TULIVU SANA NYU...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni darajani 📍✅ Vyumba viwili vyote master master Sebule jiko ✅ Ndani ya...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 12,000,000

Kiwanja kinauzwa kipo Kigamboni Buyuni kituo kinaitwa MahengeUkubwa wa Kiwanja Sqm 1500. Bei ni Mili...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

📍Kigamboni Kibada 🏡House for Rent/StandAlone🏠Three Bedrooms/Two Bedrooms Master 🏊‍♂️Swimming Poo...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

GHOROFA LINAUZWA KIBUGUMO KIGAMBONI 👉Lina vyumba vitano vya kulala master nne, public mbili sebule ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule n...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko k...