House for Rent at Kilimanjaro


Eneo linakodishwa lipo Boko Chama linaangalia barabara kuu ya lami.
Bei mil 4 kwa mwezi mazungumzo yapo
Ukubwa
Square meters 1132 ( urefu ni meter 39 na upana 29 meter.)
Kodi Kwa mwezi:
*TITLE DEED* (hati miliki ya wizara ipo).
Linafaa Kwa kufanyiwa shughuli yoyote
Yard na ofisi
Ukumbi au kumbi za starehe
Showroom
Night clubs
Duka la vifaa vya ujenzi
Guest and lodge house
Kituo Cha Mafuta (Petrol station)
Bar na restaurant
Supermarket e.t.c.
*Angalizo* , eneo haliuzwi na haliruhusiwi kutumika kama sehemu ya nyumba ya maombi ( ibada)
Eneo linakodishwa, muda wa mkataba utategemea aina ya uwekezaji, unaruhusiwa kutumia miundombinu iliyopo kama ilovyo, ama kuweka/kujenga chochote kutokana na plan yako
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane Whatsapp +255-658-582-977 call +255 784919453
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza π https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale