House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KWA WALE WASIO NA MAMBO MENGI NYUMBA HII INAKUFAA BARABARANI KABISA MAZINGIRA MAZURI #BEI 120X6
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO MNATUMIA 2 TU
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU 3 SUBMITER
#MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI
#BOMBA LA NJE LA KUFULIA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336