House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 500000X6
=============
NYUMBA NZIMA INAPANGISHWA IPO
KIMARA TEMBONI
STENDI ALONI
==========
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 1
HADI KWENYE NYUMBA
==========
USAFIRI BAJAJI MIA 700
BODA BODA 1000
==========
SIFA YA NYUMBA
INA VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA MASTA
SEBULE DAININGI
JIKO KUBWA
CHOO CHA PABILKI
===========
MAJI DAWASKO
BARABARA NZURI
HATA GARI YA CHINI
INAFIKA
======
ITAKUA WAZI TAREHE 25 MWEZI WA PILI 2
=====
##0655256419