House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NZURI YA KUPANGA 60K X6
ILIPWE ELFU SITINI MALIPO YA MIEZI SITA HAPA RANGI INAPIGWA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA DK 10 KWA MIGUU
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM HAINA FENSI ILA MAZINGILA MAZULI SANA
KUONA NYUMBA ELFU 15000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347