House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


600,000
••••○○○••••
HIII NYUMBA NI KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA SANA KWA NYUMBA KUNA MABACHELA WAWILI TU JUMLA WAPANGAJI WAPO WATATU ILA HII YENYEWE INAJITEGEMEA KILA KITU KUBWA SANA
#SEBULE UWANJA WA MPILA
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA KUPITA MAELEZO VYUMBA VYOTE VINA MAKABATI
#MASTER KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#DAINING KUBWA
#CHOO CHA FAMILIA KIZURI CHA NDANI
#INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA MITER YA MAJI
#MAJI DAWASA SIMTANK MBILI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA YA KIOO NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA YAANI HATA KUFUGA UNAWEZA FUGA
#LOCATION KIMARA KONA DK 4 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0679956863
0696708032