House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO OPEN KITCHEN, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA, INAJITEGEMEA KILA KITU
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 200,000/= KWA MWEZI
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI