House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU JUU NA CHINI ZINAPANGISHWA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#DAINING
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#FULL ICE
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 7-8 KWA MIGUU NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
0655256419