House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
IPO KIMARA SUKA UMBALI WA DK 10 MPKA 15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD KWA PKPK NI ELFU MOJA MPKA NYUMBAN
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4 TU
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN IPO NDAN YA FENS
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670