House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ANATAKIWA MTEJA WA KUHAMIA KUANZIA TAREHE 25/06/2024 NDIO ITAKUA WAZI
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 450,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MUDA MZURI WA KUONA HII NYUMBA NI KUANZIA SAA 10 JIONI NA MWISHO NI SAA 12 JIONI
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI