House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
๐๏ธAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI YA FENSI
BEI NI 200,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258