House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
300,000 X2. INAFAULISHWA
APATIMENTI KALI SANA MPYA KABISA
KODI 300,000/=X2
ZIPO KIMARA STOP OVER
UMBALI KUTOKA STENDI
DAKIKA 10-15 KWA MIGUU
PKPK 1000
SIFA ZA NYUMBA
SEBULE KUBWA SANA CHUMBA MASTA NA JIKO FULL MAKABATI
KILA APATIMENTI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING SPESI KUBWA SANA
USALAMA WA KUTOSHA