House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU INAKUA WAZI KESHO JION
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
NI APARTMENT 2 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA KILA KITU UMEME LUKU YAKE MAJI MITA YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE KILA MMOJA YAKE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670