House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE
---KUBWA YA KIBABE INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 15 KUTOKA
SIFA ZA NYUMBA =
VYUMBA 4 VYA KULALA VIWILI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
LIBRARY
STORE
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA MAZURI YA SHATA
REZEV SIMTANK
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA
KODI NI LAKI 500,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
"