House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







ASUBUHI SIMU ZIITE
MASTER BEDROOM KUBWA
NYUMBA NZURI SAANA INAPANGISHWA
KIMARA SUKA
๐ฅ KODI YAKE 80K MIEZI 4
ILIPWE 80K MWEZI MALIPO YA MIEZI 4.
#NYUMBA HII HAIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WA KUTOSHA.
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#MAJI SAFI DAWASA
#UMEME WAKE..
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM1.30
BODA TSH 1,000/=
#0659244543
๐๏ธ๐น๐ฟ KARIBUNI SAANA..