House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI UPO BAJAJ
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKIRIPIYA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
______________________________________
SIFA ZA NYUMBA
nyumba mpya
Vyumba viwilli 2 vya kulala kimoja master bedroom sebule kubwa sana
Nyumba hii ipo ndani ya fensi
Zipo nane
Kira mmoja
Inajitegemea umeme NA maji
Kushea ni saramtuu nayo upende
______________________________________
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
kodi kwa mwezi ni laki nne4 tuu kwa mwezi uripe miezi sita
(400,000)
X 6
Mteja piga simu usitume message utachelewa saaanna kujibiwa
0779646072
0713545127 WhatsApp