House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 1/04/2024 NAOMBA UZINGATIE TAREHE NDUGU MTEJA
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 300K X 6π
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU
πΉπΏ APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 1/04/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA
ππ APARTMENT INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI PIA NAOMBA UZINGATIE TAREHE NDUGU MTEJA
β¬οΈ
Simu/06 59 33 67 51
β¬οΈ
Wsp/07 86 08 56 37