Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 1/04/2024 NAOMBA UZINGATIE TAREHE NDUGU MTEJA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 300K X 6๐
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU
๐น๐ฟ APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 1/04/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA
๐๐ APARTMENT INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI PIA NAOMBA UZINGATIE TAREHE NDUGU MTEJA
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37