House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


โโ
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/05/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 600,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT NZURI YA KISASA UPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/05/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
Kupelekwa kwenye nyumba elfu kumi na Tano dalali mwenzi mmoja
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja