House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MTEJA NI KUBWA SANA SOMA MAELEZO KWA MAKINI ZINAKAMILIKA TAREHE 10/06/2024 MALIPO RUKSA
(A) MASTER BED ROOM KUBWA SANA
#CHUMBA NA CHOO CHAKE KIKUBWA SANA
#LUKU 2 SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZINAWEKWA FENSI PARKING IPO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#(B) CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA SANA
#HAKUNA JIKO
#LUKU YAKE
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI NYUMBA INAWEKWA FENSI
PARKING IPO
#LICATION KIMARA KOROGWE DK 10 -15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA KWENYE NYUMBA
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
SERVICE CHARGE 15,000
DALALI KISMATI UBUNGO
0772850032