House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
INAJITEGEMEA UMEME MITA YAKE
KODI 150,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM 0674860193