House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NA KULIPIA
---------------
๐๏ธAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
-----------
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
----------------
BEI NI 350,000/=X 6
--------------------------------
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธAPARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
AU BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI TATU NA NUSU ( 350,000/=)
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258