House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTIMENT HIZI APA ZIKO 3
MOJA IKO WAZI NI CHUMBA SEBLE CHOO JIKO INA TAIRIZI NA JIPSAM MADIRISHA YA KIOO .
MAJI YANAFLOW NDANI LUKU 3 ILA KILA MMOJA ANA SUBMITER YAKE NA MAJI KILA MMOJA NA MITA YAKE KODI 170000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DAKIKA 6 KWA MGUU UMEFIKA KWENYE NYUMBA .
KWA MAWASILIANO ZAID NIPIGIE KWENYE NO 0674890413