Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTIMENT HIZI  APA  ZIKO  3 
MOJA  IKO WAZI NI  CHUMBA SEBLE CHOO JIKO  INA TAIRIZI NA JIPSAM MADIRISHA YA KIOO .
MAJI YANAFLOW  NDANI  LUKU 3 ILA KILA MMOJA ANA SUBMITER YAKE  NA MAJI  KILA MMOJA  NA MITA  YAKE  KODI 170000 KWA  MWEZI  MALIPO MIEZI SITA 
  NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DAKIKA 6  KWA MGUU UMEFIKA  KWENYE  NYUMBA .
 KWA MAWASILIANO ZAID NIPIGIE  KWENYE  NO 0674890413




















