House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


——
(400,000 × 6) KIMARA TEMBONI
#APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK 5 KWA MGUUU
*wahi chapu
------
Vyumba Viwili vya kulala kimoja master
Sebule
Public toilet Ndani
Jiko Kubwa
Slide window
Maji yana flow
Luku Yake
Fensi kubwa na Peving Block
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
----------
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja