House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HII APARTMENT INAITAJI MSELA WA KIUME
.
INAKUA WAZI TAR 30/05/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE NI RUKSA KABISA
.
KODI NI 250,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS 500 TU UKISHUKA DK 5 UPO NYUMBAN
.
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING IPO
PERVING BLOCK SAFI
GARDEN NZURI
FULL ELECTRONIC FENCE
ULINZI KAMA JELA
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT
###0655256419