House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA SUKA
APARTMENT NZURI KUBWA SANA YA KIFAMILIA ZIPO 2 TU INAPANGISHWA KODI 250,000 × 6
LOCATION: KIMARA SUKA UMBALI DAKIKA 15 KWAMIGUU AU BODABODA 1000
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
MADILISHA YA WAVU
MAJI DAWASCO YANA FLOW NDANI NA TANK LAKO
KODI NI 250,000 × 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300