Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA SUKA
APARTMENT NZURI KUBWA SANA YA KIFAMILIA ZIPO 2 TU INAPANGISHWA KODI 250,000 × 6
 
LOCATION: KIMARA SUKA  UMBALI DAKIKA 15 KWAMIGUU  AU BODABODA 1000
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM 
SEBULE KUBWA 
JIKO KUBWA SANA 
PUBLIC TOILET YA NDANI 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA 
MADILISHA YA WAVU
MAJI DAWASCO YANA FLOW NDANI NA TANK LAKO 
KODI NI 250,000 × 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000 
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300




















