House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 500,000/= X 6
#VYUMBA 2 VIKUBWA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/= X 6
๐๏ธ LOCATION:- NI KIMARA TEMBONI UPANDE KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU (FEW METER'S FROM MAINE ROAD) NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
๐ฅHAPA UKILIPIA KODI YA NYUMBA UTALIPIA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 20
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258