House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
👉NEW CLASSIC APARTMENT FOR RENT@KIMARA TEMBONI
👉APARTMENT HIZI MPYA ZIPO 5 TUU KWENYE FENSI MOJA
👉NA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
👉NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
😂SEHEMU 'A'
👉#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA
👉KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
👉#SEBULE KUBWA
👉#JIKO KUBWA LA KISASA
👉#PUBLIC TOILET
👉#HEATER YA MAJI MOTO
👉#AIR CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
👉#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBANI
👉#GARDEN + PAVING
👉#PARKING KUBWA
👉BEI NI TSH 700,000/= X 6
👉SEHEMU 'B'
➖➖➖➖➖➖
👉#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
👉KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
👉#SEBULE KUBWA
👉#JIKO KUBWA LA KISASA
👉#PUBLIC TOILET
👉#HEATER YA MAJI MOTO
👉#AIRCONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
👉#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBA VYOTE
👉#GARDEN + PAVING ZA KISASA
👉#PARKING KUBWA
👉BEI NI TSH 600,000/= X 6
👉SECURITY CCTV CAMERA NA FENSI YA WAYA WA UMEME
👉🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O AU BODABODA SH ELFU 1 TUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
📌📌 APARTMENT HIZI ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/06/2024
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA⚓