Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐NEW CLASSIC APARTMENT FOR RENT@KIMARA TEMBONI
๐APARTMENT HIZI MPYA ZIPO 5 TUU KWENYE FENSI MOJA
๐NA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
๐NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
๐SEHEMU 'A'
๐#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA
๐KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
๐#SEBULE KUBWA
๐#JIKO KUBWA LA KISASA
๐#PUBLIC TOILET
๐#HEATER YA MAJI MOTO
๐#AIR CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
๐#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBANI
๐#GARDEN + PAVING
๐#PARKING KUBWA
๐BEI NI TSH 700,000/= X 6
๐SEHEMU 'B'
โโโโโโ
๐#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
๐KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
๐#SEBULE KUBWA
๐#JIKO KUBWA LA KISASA
๐#PUBLIC TOILET
๐#HEATER YA MAJI MOTO
๐#AIRCONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
๐#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBA VYOTE
๐#GARDEN + PAVING ZA KISASA
๐#PARKING KUBWA
๐BEI NI TSH 600,000/= X 6
๐SECURITY CCTV CAMERA NA FENSI YA WAYA WA UMEME
๐๐๏ธ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O AU BODABODA SH ELFU 1 TUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
๐๐ APARTMENT HIZI ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/06/2024
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJAโ