House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KUBWA SANA INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
KODI 130,000X4
NI CHUMBA MASTE NA SEBULE NA BARAZA KUBWA SANA
SEBULE KAMA UWANJA NA MASTER KAMA SWIMMING
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
TAILS GYPSUM ALUMINIUM
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 3
BAJAJI 1000
DALADALA 600
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA