House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 170K X4,5,6
ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA
NYUMBA HII NZURI IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA UNATEMBEA DK 7 TUH KWA MIGUU
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#KIJIKO KWA NJE
Tyles Gypsum Madirisha alminium ndani ya Fensi Parking space ipo
#UMEME SUBMITA 2
#MAJI DAWASA YAKWAKO PIA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA