House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
KUTOKA MWENDOKASI HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 KWA MIGUU
NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO
INA FULL AIR CONDITIONS IPO NDANI YA FENSI PAKING IPO
ITAKIWA WAZI LEO JIONI TAREHE 10
KODI NI 350000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI